MBOWE AFUNGUKA HUKUMU YA SUGU | ASEMA ILIPANGWA HOTELINI NA SERIKALI

2018-02-27 1

MWENYEKITI WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA AMEONGEA NA WANAHABARI LEO JUU YA MAMBO MBALI YALIYOJITOKEZA HIVI KARIBUNI IKIWEMO HUKUMU YA MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI a.k.a SUGU